Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.

Get Adobe Flash player

Swahili

  

Mungu ni mmoja

  

Yohana 17:3 (Swahili New Testament)

3Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma.

Marko 15:34 (Swahili New Testament)

34Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu ``Eloi, Eloi lama Sabaktani?'' Yaani, ``Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?''

Waefeso 4:4-6 (Swahili New Testament)

4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, k ama mlivyoitwa mpokee tumaini moja. 5Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja; 6na Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wot e, aliye juu ya wote, anayefanya kazi katika yote na aliye ndani ya yote.

1 Wakorintho 8:6 (Swahili New Testament)

6sisi tunajua kwamba kuna Mungu mmoja, aliye Baba, ambaye vitu vyote vinatoka kwake, na sisi tunaishi kwa ajili yake; na kuna Bwana mmoja, Yesu Kristo, ambaye vitu vyote vimekuwepo kupitia kwake na tunaishi kutokana naye.

1 Wakorintho 12:4-6 (Swahili New Testament)

4Basi kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni mmoja. 5Pia kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni mmoja. 6Kisha kuna aina tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule anayeongoza kazi zote kwa kila mtu.

Warumi 3:30 (Swahili New Testament)

30Basi kwa kuwa Mungu ni mmoja, atawahesabia haki wale waliotahiriwa kutokana na imani yao na wale wasiotahiriwa kutokana na imani yao.

 

 

Yesu ni nabii

 

 

1 Timotheo 2:5 (Swahili New Testament)

5Maana kuna Mungu mmoja na mpatanishi mmoja kati ya Mungu na wanadamu, yaani mwanadamu Kristo Yesu,

Yohana 7:16 (Swahili New Testament)

 16Yesu akawajibu , ``Mafundisho yangu hayatoki kwangu. Yanatoka kwake yeye aliyenituma.

Luka 24:19 (Swahili New Testament)

 19Akawauliza, ``Mambo gani?'' Wakamjibu ``Mambo yaliyompata Yesu Mnazareti. Yeye alikuwa nabii mwenye uwezo mkuu katika maneno yake na matendo yake, mbele za Mungu na mbele za wanadamu.

Luka 13:33 (Swahili New Testament)

33Sina budi kuendelea na safari yangu leo, kesho na kesho kutwa, kwa maana haiwezekani nabii kufa mahali pengine isipokuwa Yerusalemu.

Matayo 21:11 (Swahili New Testament)

11Ule umati wa watu wakajibu, ``Huyu ni Yesu, yule nabii kutoka Nazareti katika Galilaya.''

Waebrania 3:1 (Swahili New Testament)

Waebrania 3

Yesu Ni Mkuu Kuliko Musa

 1Kwa hiyo, ndugu zangu watakatifu, ambao mmeshiriki wito wa mbinguni, mtafakarini Yesu, mtume na kuhani mkuu wa imani tunay oikiri.

Yohana 6:14 (Swahili New Testament)

 14Watu walipoona muujiza huu alioufanya Yesu, wakasema, ``Hakika huyu ndiye yule Nabii tuliyekuwa tukimtazamia!''

Matayo 21:46 (Swahili New Testament)

46Wakatafuta njia ya kumkamata lakini waliogopa ule umati wa watu kwa kuwa wao walim tambua Yesu kuwa nabii.

 

 

Yesu si Mungu

 

 

 

Wagalatia 6:7 (Swahili New Testament)

 7Msidanganyike, Mungu hadanganywi. Kwa maana kila mtu ata vuna kile alichopanda.

Luka 22:63 (Swahili New Testament)

 63Watu waliokuwa wanamlinda Yesu wakaanza kumdhihaki na kumpiga.

 

1 Timotheo 1:17 (Swahili New Testament)

17Basi, heshima na utukufu ni wake yeye Mfalme wa milele, asi yekufa wala asiyeonekana, aliye peke yake Mungu, milele na milele. Amina.

Marko 15:37 (Swahili New Testament)

 37Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.

Luka 23:46 (Swahili New Testament)

46Yesu akapaza sauti akasema, ``Baba, mikononi mwako ninaikabidhi roho yangu.'' Baada ya kusema haya, akakata roho.

 

 

 

Yesu ni Muislamu

 

Lakini kama mtu akiteseka kwa kuwa ni mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu kwa jina hilo.

Matendo Ya Mitume 11:26 (Swahili New Testament)

26Alipompata akaja naye mpaka Antiokia. Na wote wawili wakakaa huko kwa mwaka mzima, wakiwafundisha wengi walioamini katika kanisa la Antiokia. Hapo Antiokia ndipo waamini waliitwa `Wakristo' kwa mara ya kwanza.

1 Petro 4:14, 16 (Swahili New Testament)

14Kama mkilau miwa kwa ajili ya jina la Kristo, mmebarikiwa, kwa sababu Roho wa Utukufu, yaani Roho wa Mungu, anakaa juu yenu.

16Lakini kama mtu akiteseka kwa kuwa ni mkristo asione haya, bali amtukuze Mungu kwa jina hilo.

Hata baada ya siku nane, ilipotimia siku ya kumtahiri mtoto, aliitwa Yesu

Luka 2:21 (Swahili New Testament)

 21Hata baada ya siku nane, ilipotimia siku ya kumtahiri mtoto, aliitwa Yesu; jina alilopewa na malaika kabla hata haja chukuliwa mimba.

Matayo 6:16 (Swahili New Testament)

Mafundisho Kuhusu Kufunga

 16``Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao.

 

``Amani iwe nanyi''

 

Luka 24:36-37 (Swahili New Testament)

 36Wakati walipokuwa wanazungumza hayo, Yesu mwenyewe akasi mama katikati yao akawasalimu, ``Amani iwe nanyi.''

 37Wakashtuka na kuogopa wakidhani wameona mzimu.

Yohana 20:19 (Swahili New Testament)

Yesu Anawatokea Wanafunzi Wake

 19Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, ``Amani iwe nanyi.''

Yohana 20:21 (Swahili New Testament)

21Yesu akawaambia tena, ``Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.''

Maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati

 

 

Waebrania 13:4 (Swahili New Testament)

 4Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.

 

Pia msilewe divai, kwa sababu huo ni upotovu

 

Waefeso 5:18 (Swahili New Testament)

18Pia msilewe divai, kwa sababu huo ni upotovu, bali mjazwe Roho.

1 Wakorintho 5:11 (Swahili New Testament)

11Lakini nilikuwa namaanisha kwamba msishirikiane na mtu ye yote anayejiita ndugu lakini ni mwasherati, mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu, mtukanaji, mlevi na laghai. Wala msile na mtu kama huyo.

 

1 Wakorintho 11:5-6 (Swahili New Testament)

5Na mwanamke anayeomba au kutoa unabii pasipo kufunika kichwa chake, anaaibisha kichwa chake, ni sawa kama ame nyoa nywele zote kichwani. 6Kama mwanamke hataki kufunika kichwa chake, nywele zake zinyolewe; na kama ni aibu kwa mwanamke kunyoa kichwa chake, au kukata nywele zake, basi afunike kichwa chake.

 

 

 

Muhammad (S.A.W) katika Biblia

 

 

Yohana 14:16 (Swahili New Testament)

16Nami nitam womba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote.

Yohana 16:7-8 (Swahili New Testament)

7Lakini nawaambia kweli kwamba kuondoka kwangu ni kwa faida yenu kwa maana nisipoondoka, yule Msaidizi hatakuja kwenu. Lakini nikienda nitamtuma aje kwenu. 8Naye akija atauthibitishia ulim wengu kuhusu dhambi, haki na hukumu.

Yohana 16:13 (Swahili New Testament)

13Akija yule Roho wa kweli atawaongoza muijue kweli yote. Yeye hatanena kwa uwezo wake mwenyewe bali atanena yote atakayosikia. Atawafundisha kuhusu mambo yote yajayo.

Yohana 14:29-31 (Swahili New Testament)

29 Na sasa nimewaambia mambo haya kabla hayajatokea ili yataka potokea mpate kuamini. 30Sitasema tena mengi nanyi kwa sababu mtawala wa dunia hii anakuja. Yeye hana uwezo juu yangu. 31Lakini ninatii amri ya Baba ili ulimwengu upate kujua kwamba nampenda Baba. Simameni tuondoke hapa.' '

 

``Wewe ni yule Nabii?''

 

Yohana 1:20-21 (Swahili New Testament)

20Yohana akawajibu wazi wazi pasipo kuficha, ``Mimi siye Kristo.'' 21Wakamwuliza, ``Wewe ni nani basi? Wewe ni Eliya ?'' Akajibu, ``Hapana, mimi siye.'' ``Wewe ni yule Nabii?'' Akajibu, ``Hapana.''

``Wewe ni yule Nabii?''

”Nabii”= Muhammad (S.A.W).

 

Yohana 8:32 (Swahili New Testament)

32Mtaelewa yaliyo kweli kumhusu Mungu na ukweli huu utawafanya muwe watu huru.